ZBlogR

Jamaa aachwa mataani kwa kukosa kulipa deni la mpenzi

Jamaa kutoka Meru mjini alijikuta kona mbaya baada ya kukataa kumlipa mpenzi wake hela alizomkopa. Semasema zinaarifu kwamba wawili hao walikuwa wamechumbiana kwa muda mrefu na jamaa alifanikiwa kumshawishi demu wafunge naye pingu za maisha. Habari Nyingine; Wawili wanaswa na sigara ghushi yenye thamani ya KSh6 milioni Taifa Leo iliripoti kwamba kipusa alikuwa na kazi nzuri na mara kwa mara alimpiga jeki jamaa katika biashara yake. Inasemekena mwezi jana, barobaro alikopa pesa kutoka kwa mrembo ila hakufanikiwa kulipa kwa wakati ufaao akisema hana hela za kutosha.

Makubwa! Willy Paul na wenzake waambiwa Injili sio uwanja wa kusakia umaarufu

– Mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili Reuben Kigame, amewafichulia siri waimbaji chipukizi wa Injili – Kigame anawasisitizia nia ya kuandika miziki kuhusu neno la Mungu na kulizingatia kwa moyo na nafsi – Anawataka vijana katika muziki wa Injili kuimba na kutenda na wala sio tu kupitisha ujumbe Mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili Reuben Kigame, amewafichulia siri waimbaji chipukizi wa Injili na kuwaeleza namna ya kuhakikisha wanafaulu. Habari Nyingine: Kuingia Mombasa rahisi, kutoka matanga-hii ndiyo sababu

New Alan Moore Series 'Crossed: +100'

September 15, 2014 8:27 PM EDT Fans craving new material from graphic novelist and comic book icon Alan Moore have some good news: the man behind Watchmen and V for Vendetta has a six-issue project in the works. Crossed: +100, a spin-off of Garth Ennis’ sci-fi-horror series Crossed, takes place approximately 100 years after the original outbreak of a plague that reduces humanity to its most evil thoughts, according to The Hollywood Reporter.

Nigerian Lady Demolishes Widow's Old Mud House, Builds Her a Fine 3-Bedroom Apartment Within 2 Month

A kind-hearted Nigerian lady has, through her humanitarian foundation, gifted a poor widow a fully furnished 3-bedroom apartmentThe lady stated that she had met the widow on July 30 living with her little kids in a dilapidated old mud houseThe fully furnished apartment has a borehole with two water tanks, aluminium roofing sheets and is covered with tilesA widow, Harriet Ngawuchi, has become the latest landlord in Imo state thanks to the kind gesture of a Nigerian lady.

No birth certificates for persons over 18 years - Oyo NPC

The NPC State Director Oyo State, Akin Oyetunde, told the News Agency of Nigeria (NAN) on Tuesday in Ibadan that this is according to Act 1992 Birth and Death. He said “The NPC is guided by an Act propagated in 1992, so, any child born before 1992 will not be issued a birth certificate. “Instead of birth certificate, people born before 1992 and those above 18 years will be given Attestation of Birth.